Job
Title: House Girl / Maid
Duty Station: Dar Es Salaam
Application Deadline: 30th Sept 2013
Job Description:
Mfanyakazi wa kazi za ndani (housegirl) mwenye sifa zifuatazo anatafutwa:
a) Awe amemaliza darasa la 7 na kuendelea, awe mwaminifu na
heshima kwa wote
b) Awe na wadhamini wawili wenye vitambulisho vya kazi na
barua ya Serikali za Mitaa
c) Kama amefanyakazi kwingine awe tayari kueleza sehemu
alizofanya kazi na sababu za kuacha kazi
How to Apply:
Kama una sifa hizo hapo juu wasiliana nasi kwa e-mail dvisass@yahoo.com au text
message kwenye Na. 0719 274501