-Uwe na umri unaozidi miaka 20 na usiozidi miaka 45.
-Uwe na Elimu ya Kuanzia Ordinary Secondary na kuendelea.
-Uwe na rekodi nzuri katika makosa ya jinai.
-Uwe na Passport iliyotayali kwa Kusafiria .
-Mwaminifu na upo tayari kufanya kazi Vijijini.
-Maombi yafanyike kwa kutuma CV na Copy ya Passport (Tafadhali zingatia hili)
*Internships ni kwa wale waliomaliza Diploma na Kuendelea tu,
-Makazi ya bure yatatolewa kwa muombaji aliyefanikiwa kupata kazi
-Usafiri utatolewa bure kutoka nyumbani mpaka kazini
-Mshahara mzuri na bonus allowances zitatolewa kila mwezi kwa wafanyakazi,Volunteers na Internships wote.
Kwa Maelezo zaidi juu ya utumaji maombi tafadhali wasiliana kwa ;
POD VOLUNTEERS “NGO”
P.o.box 2669 Dept W,Portland, 97208-2669,Honduras
Emails: info@podvolunteers.org
