Branch Manager Jobs in Tanzania

Cassandra Lingerie ni maduka
yanayouza nguo za ndani za wanawake pamoja na urembo. Inatangaza kazi za Branch
Manager Mkoa wa Mwanza.

VIGEZO:
1. Lazima awe Mwanamke
2. Awe na master Degree in Business &
Marketing
3. Awe na uzoefu usiopungua miaka 3.
4. Awe Mbunifu.

MAJUKUMU:
1. Kusimamia maduka yanayouza brassier,
Underwear na Urembo.
2. Kuandaa ripoti, ya Siku, Wiki na Mwezi kwa
usahihi na kwa wakati.
3. Kusimamia  stock iliyopo dukani.
4. Kusimamia wauzaji

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0763810571

0 0 votes
Article Rating
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x